mwananyiha
JF-Expert Member
- Mar 11, 2008
- 248
- 43
mkuu hakuna kamchezo ni vitu vya uhakika njoo weekend hii ujionee.15m mbona ndogo kwa maeneo hayo na ukubwa wa kiwanja!? ...au kuna mchezo hapo?
worry not my friend come and see.Ni kweli lukindo, I am worried about this story kwa kweli.
wanasema wasiwasi ndio akili lakini nakushauri ufike usome mazingira kama ni ya kimsofe au la.Mbezi beach kiwanja mil15?? Mhhh isije ikawa papa msofe type!!