yaan m 12 kiwanja chanika na akijapimwa?are you serious broo?kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,800,000/=
ikiwa utapenda kukiona tuwasiliane 0713683422
kiwanja eneo la buyuni karibu na kituo cha mafuta cha Sheratoni
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,800,000/=
ikiwa utapenda kukiona tuwasiliane 0713683422
ni kweli mkuu kiwanja hiki ni ghali sanaGhali sana!