Plot4Sale Kiwanja for sale

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
54
Kipo barabara ya Goba, ukitokea mbezi ya kimara ni 2.5km na kutoka barabara ya lami ni mita kama 150. Barabara ni lami.
Ukubwa ni 22m kwa 22m,
kina banda kwa nyuma kama servant quarter flanan ambalo lina vyumba 3, limeishia kwenye lenta.

Bei ni million 11
Umeme na maji yapo na huduma zote muhimu za kijamii zipo na ni mtaa watu wanaishi.
Kwa mawasiliano 0713322856

Picha nitaupload kesho TCRA wakishatulia.


Haya kazi kwako!
 
20m X 20m Chanika Mjini(Videte)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

SoldOut
 
20m X 20m Chanika Mjini(Videte)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
Mkui vipi weka details, una hati pamepimwa ..? nipm
 
Mkui vipi weka details, una hati pamepimwa ..? nipm
Kiwanja kinauzwa kibaha picha ya ndege,70*40,karibu na efatha ministries,KIMEPIMWA NA KINA HATI.Barabara hadi mlango.Bei ni 15M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…