Plot4Sale KIWANJA HEKA 6 KINAUZWA BAGAMOYO KILOMO

Iweee

Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
6
Reaction score
0
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh.

Maendeleo yamekwisha kufika ikiwemo maji, umeme na huduma nyingine za msingi halikadhalika zipo.

Bei ya heka moja inaanzia 28milioni mazungumzo nakaribisha. Kama unahitaji nicheki PM
 
Milioni 28 heka moja, Bagamoyo Kilomo, 1.5km from barabarani.........

Hivi Kiwanja Bagamoyo mjini ni bei gani? 1.5km kutoka barabarani mitaa ya Bunju na mapinga je?

Anyway kiwanja ni chako una haki kupanga bei uitakayo
 
Milioni 28 mazungumzo yapo
 
Yani milioni ishirini na nane tena heka moja tu.heeee mma poo niendelee kukaa hukuhuku niliko.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh.

Maendeleo yamekwisha kufika ikiwemo maji, umeme na huduma nyingine za msingi halikadhalika zipo.

Bei ya heka moja inaanzia 28milioni mazungumzo nakaribisha. Kama unahitaji nicheki PM
Hekari 1 million 28 Siyo kwaenzi za Magufuli.
 
Milion 28 au milion 2.8 ??? Sio kwa bei hiyo mkuu kwa wakati huu wa Sizonje
 
Back
Top Bottom