Milioni 28 mazungumzo yapoMilioni 28 heka moja, Bagamoyo Kilomo, 1.5km from barabarani.........
Hivi Kiwanja Bagamoyo mjini ni bei gani? 1.5km kutoka barabarani mitaa ya Bunju na mapinga je?
Anyway kiwanja ni chako una haki kupanga bei uitakayo
Duuu... Masihara hayo mkuu, kiwanja tu au kina nyumba kabisa?Milioni 28 mazungumzo yapo
Hekari 1 million 28 Siyo kwaenzi za Magufuli.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na kuendelea, umbali kutoka barabara ya lami ni 1.5km, ukitoka Dar ni kituo kilicho mbele ya kwa Awadh.
Maendeleo yamekwisha kufika ikiwemo maji, umeme na huduma nyingine za msingi halikadhalika zipo.
Bei ya heka moja inaanzia 28milioni mazungumzo nakaribisha. Kama unahitaji nicheki PM
Labda amekosea alimaanisha 2.8m watu tukaelewa vibaya.Milion 28 au milion 2.8 ??? Sio kwa bei hiyo mkuu kwa wakati huu wa Sizonje