Kiwanja kinauzwa Pugu mwakanga, kimepimwa na kina offer, kina square metre 1200+ .
Gari linafika mpaka kwenye kiwanja, ni tambarare pazuri, hapatuami maji,
Ukitaka kununua nitakusaidia na kufanya transfer kiwe kwa jina lako, utalipia tu valuation fees.
Kiwanja kinauzwa milioni 6.
If you are interested tuwasiliane kwa email hii : mtumishijoy@gmail.com
Nipo serious, nitaenda huko weekend, so nitakutumia picha, baada ya kutoka huko.
Mkuu weekend hii nilibanwa kiasi, nimeshindwa kwenda, but if you are serious we can arrange na ukaenda kukiona, even weekdays. thanks.
Sipo bongo ndio maana nikasema vile,ila sio mbaya anytime ukipata muda au ukienda basi sio mbaya!