Plot4Sale Kiwanja jijini Mwanza kwa laki 6 tu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza

Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna
Size: hatua 18 kwa 16 za miguu
Mawasiliano: 0713096076

Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa
Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama

Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu (nyanama)
 
Mkuu hili ni shamba au kiwanja Kuna umeme??? Maji Na vipi kuhus documents
 
Mkuu hili ni shamba au kiwanja Kuna umeme??? Maji Na vipi kuhus documents
Mkuu umeme na maji vipo karibu kufika eneo la tukio.

japo kiwanja kishaenda.

ila ukihitaji viwanja nicheki tu tusiishie kuchati
 
Mkuu umeme na maji vipo karibu kufika eneo la tukio.

japo kiwanja kishaenda.

ila ukihitaji viwanja nicheki tu tusiishie kuchati
Mkuu ndiyo nahitaji VP naweza kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…