MitaHatua 50 kwa 22 unakuwa unatumia kipimo gani cha kisayansi..... Hekari, sentimita, futi, mita au ni vipi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
40m???!aisee. Ngoja nikalipie Kuna jamaa alinipa 1340 sqm Tegeta kwa 7m.Hatua 50 kwa 22 unakuwa unatumia kipimo gani cha kisayansi..... Hekari, sentimita, futi, mita au ni vipi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kingekuwa mitaa ya kariakooKiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo .
kiwanja kimepimwa
Maji ya dawassa
Umeme
Na huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100.
Bei ya kiwanja ni 40 million Tshs.
Karibu uwasaliane na mimi mwenye kiwanja
📞 0758851175,0713220021.
Ukileta mteja pia utapata commission
View attachment 1441588
View attachment 1441589View attachment 1441590View attachment 1441591