Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Habari wakuu! Kiwanja chenye ukubwa wa square meters 600 kinauzwa Tshs 6,500,000. Kiwanja kimepimwa na Manispaa ya Morogoro na hati ipo hatua za mwishoni kutolewa. Kiwanja kipo Kingolwira karibu na kampuni ya alliance one, umeme umefika na kuna ujenzi wa nyumba unaendelea kwenye baadhi ya plots zilizokwishanunuliwa. Maongezi yapo kidogo. Interested buyers wanakaribishwa inbox.