Kiwanja kinauzwa.
Jamani ninauza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kipo kigamboni. Kijijini: Mwasonga. Near to Dar es salaam zoo. Kuna shule ya primary, secondary na zahanati. Mtu atakayetaka kuchukua ni lazima ajue eneo Hilo liko mbali kidogo na mji. Usafiri wa kufika huko upo tena mzuri. Ni sehemu ambayo kwa sasa inaanza kujengwa kwa kasi. Bei 7.5 M. Tuwasiliane.
Mkuu sema tuu ukweli kama hujui pana umbali gani. Kutoka ferry mpaka hapo kibada mwisho stendi si chini ya 12km. Then kama kiwanja kipo karibu na Dar zoo sidhani kama hizo KM zako ni sawa...