Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Sema wewe huenda wakakuelewa, hawajui hakuna hela za kuchota siku hizi.Kwa nyakati hizi za Magu hupati mteja
Pesa hakuna siku hizi. Mimi nafuta kiwanja mbezi beach, sikutukani, Kama unaweza kuuza kwa million 120. Tafuta ukipata 250 sawa ukikosa kabisa na unaka kuuza basi mimi mteja.Kwa nyakati hizi za Magu hupati mteja
Sema Mimi Sina hela Usiseme Watu hawana hela, Watakucheka Watu [emoji12] [emoji12] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji20] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa nyakati hizi za Magu hupati mteja
Upo Tanzania hii hii au wapi!? Inaonyesha hujui nini kinaendelea kijana.Sema Mimi Sina hela Usiseme Watu hawana hela, Watakucheka Watu [emoji12] [emoji12] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji20] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mama Obama una 120 unataka kiwanja serious au? Hebu nicheki 0689315582Pesa hakuna siku hizi. Mimi nafuta kiwanja mbezi beach, sikutukani, Kama unaweza kuuza kwa million 120. Tafuta ukipata 250 sawa ukikosa kabisa na unaka kuuza basi mimi mteja.
Serious nataka kiwanja mbezi beach na pesa ninazo. Kama una kiwanja na unataka kuuza kwa harakaMama Obama una 120 unataka kiwanja serious au? Hebu nicheki 0689315582
Niko serious na pesa ninazo. Kama una kiwanja Mbezi Beach na unataka kuuza haraka niko tayariMama Obama una 120 unataka kiwanja serious au? Hebu nicheki 0689315582
Ni wachache watakuelewa kwa sasa lakini miezi kama 24 kutoka sasa 'wafukuaji' wa thread watakuja kuiibua hii.Viwanja vilikuwa vikiuzwa bei kubwa zaidi ya Marekani au Uingereza. Mtanzania wa kawaida alikuwa hawezi kununua, wanunuaji wengi wao ni watu Kama Lugumi waliokuwa na tenda za serikali waliokuwa wakilipwa pesa zetu kabla ya kufanya kazi. Rais Magufuli ameweka kufuli hakuna tena. Nenda Mbezi beach majengo mengi yamesimama, nakupa miezi sita million 120 ninazokupa hutazipata. There is no spending power in Tanzania pesa zilozokuwa zikitumika mitaani ni kodi za wanyonge zilizokuwa zikiibiwa na wachache kupitia tenda za serikali.
Economy ya Tanzania ilikuwa mbaya. Nyumba ambazo zilikuwa zinajengwa siyo za kawaida. Pesa nyingi zilikuwa zinatoka serikalini za walipa kodi. Matokeo yake watoto mashuleni wanakaa chini, hospitali haina vitanda. Million 45 ya Watanzania masikini, million 5 matajiri na utajiri wao sio wa kufanya kazi, Bali walikuwa wa kutumia kodi za Watanzania million 45. Leo mahoteli yamekuwa hostel, hospitali ya Apollo India mapato yake makubwa yalikuwa katika kwenye kodi za Watanzania million 45. Mungu isaidie Tanzania na watu wake ili waelewe pesa zao zinatumika vipi.Ni wachache watakuelewa kwa sasa lakini miezi kama 24 kutoka sasa 'wafukuaji' wa thread watakuja kuiibua hii.
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa kuna kiwanja 20x25 Mwenge kiliuzwa billion moja kitu ambacho ni uendawazimu, kwa sasa baada ya kuona wizi wa makontena umepungua na maduka kuanza kufungwa Kariakoo kila mmoja anajua kuwa ukiwa na billion moja unaweza kufanya uwekezaji wenye tija na faida zaidi kwa kuajiri watu zaidi badala ya kukamua kodi katika mfumo wa utakatishaji pesa.
Kweli kabisa ulikuwa ni uwenda wazima kununua kiwanja eti bilion na kuendelea au nyumba mtu anatamka tu bei anaye taka mbaya zaidi hivyo vitu vinavyo uzwa bei hizo ukiangalia miondombinu hakuna sasa unajiuliza thamani yake inatoka na nn? Hupati jibuEconomy ya Tanzania ilikuwa mbaya. Nyumba ambazo zilikuwa zinajengwa siyo za kawaida. Pesa nyingi zilikuwa zinatoka serikalini za walipa kodi. Matokeo yake watoto mashuleni wanakaa chini, hospitali haina vitanda. Million 45 ya Watanzania masikini, million 5 matajiri na utajiri wao sio wa kufanya kazi, Bali walikuwa wa kutumia kodi za Watanzania million 45. Leo mahoteli yamekuwa hostel, hospitali ya Apollo India mapato yake makubwa yalikuwa katika kwenye kodi za Watanzania million 45. Mungu isaidie Tanzania na watu wake ili waelewe pesa zao zinatumika vipi.
Mkuu Mimi ninacho 460sqm bei yake 93ml kipo Mbezi beach karibu na shule ya Jk nyererePesa hakuna siku hizi. Mimi nafuta kiwanja mbezi beach, sikutukani, Kama unaweza kuuza kwa million 120. Tafuta ukipata 250 sawa ukikosa kabisa na unaka kuuza basi mimi mteja.
Mkuu saizi Dar viwanja havitakuwa na soko wote wanahamia Dodoma huko ndio viwanja ni diliKwa sasa ngoja tusubirie maana viwanja tutanunua hata bure maana hela itapotea kabisa
Haa haaa hamna mkuu ndo hali halisi inayoendelea hapa mjini.Navyoziona comments nyingi hapa kama muuzaji anatishwa