Plot4Sale Kiwanja kinabadilishwa au kuuzwa

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Kiwanja kinauzwa au kinabadilishwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga
Urefu 27m Upana 22m

Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. Kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanja ili viwanja vipimwe na kupewa hati, fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/=

Bei ya kiwanja ni Tzsh 3,700,000/ =
Mawasiliano 0765062114
Whatsap 0759399805

240.jpg
248.jpg
239.jpg
246.jpg
 
View attachment 1491930View attachment 1491931View attachment 1491932View attachment 1491934
Kange ni karibu na stendi kubwa ya mabasi?hicho kiwanja kilipo ni umbali gani kutoka pale stendi kubwa ya nabasi?
 
Back
Top Bottom