Plot4Sale Kiwanja kinabadilishwa na gari au bajaji

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Kiwanja kinabadilishwa kipo Mkurumuzi Tanga km 4 kutoka stendi mpya
Urefu 27m

Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.

Kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanha ili viwanja vipimwe na kupewa hati,fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka
unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/=
Bei ya kiwanja ni Tzsh 3,700,000/ =
Mawasiliano 0765062114
Whatsap 0759399805

 
Kiwanja Mbona kina kaburi mzee
Huoni hapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…