Plot4Sale Kiwanja Kinahati Kigamboni 7,000,000 TSH

Plot4Sale Kiwanja Kinahati Kigamboni 7,000,000 TSH

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
IMG_0500.jpg

[emoji91]Kiwanja DSM, Kigamboni ,Kimbiji
[emoji736]Kimepimwa 520 Sqm
[emoji736]Kinahati
[emoji736]Mauziano Ardhi
[emoji593]Umbali Km 43 toka Feri
[emoji605]Umbali Km 2 toka baharini
[emoji2215]Umbali 200 m toka barabara kuu
[emoji91]Bei ya corona [emoji2395][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388] TSH
IMG_0493.jpg

IMG_0509.jpg

IMG_0528.jpg
 
Mkuu niwie radhi kwa kuingilia biashara yako hapo, hivi kigamboni ina ukubwa gani? km 43 toka feri si mchezo sijafika Kigamboni ndani ndani huko
 
kweli Kigamboni ni kubwa mana Kigamboni imepakana na kisarawe
 
yani ukigika kina beach inaktwa south beach unawnda tena mbele sanna ila njia ndio ile ile
 
ila umbali wa sehemu ni barabara tu, huduma za kijamii zote zipo kuna miji kama avic town jaribu kugoogle
 
Back
Top Bottom