Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jun 21, 2020 #1 [emoji91]Kiwanja DSM, Kigamboni ,Kimbiji [emoji736]Kimepimwa 520 Sqm [emoji736]Kinahati [emoji736]Mauziano Ardhi [emoji593]Umbali Km 43 toka Feri [emoji605]Umbali Km 2 toka baharini [emoji2215]Umbali 200 m toka barabara kuu [emoji91]Bei ya corona [emoji2395][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388] TSH
[emoji91]Kiwanja DSM, Kigamboni ,Kimbiji [emoji736]Kimepimwa 520 Sqm [emoji736]Kinahati [emoji736]Mauziano Ardhi [emoji593]Umbali Km 43 toka Feri [emoji605]Umbali Km 2 toka baharini [emoji2215]Umbali 200 m toka barabara kuu [emoji91]Bei ya corona [emoji2395][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388][emoji2388] TSH
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Jun 21, 2020 #2 KM 43 toka ferry mkuu?
Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jun 21, 2020 Thread starter #3 Ndio mkuu
venance7 JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 558 Reaction score 1,645 Jun 21, 2020 #4 Mkuu niwie radhi kwa kuingilia biashara yako hapo, hivi kigamboni ina ukubwa gani? km 43 toka feri si mchezo sijafika Kigamboni ndani ndani huko
Mkuu niwie radhi kwa kuingilia biashara yako hapo, hivi kigamboni ina ukubwa gani? km 43 toka feri si mchezo sijafika Kigamboni ndani ndani huko
Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jun 21, 2020 Thread starter #5 kweli Kigamboni ni kubwa mana Kigamboni imepakana na kisarawe
Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jun 21, 2020 Thread starter #6 yani ukigika kina beach inaktwa south beach unawnda tena mbele sanna ila njia ndio ile ile
Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jun 21, 2020 Thread starter #7 ila umbali wa sehemu ni barabara tu, huduma za kijamii zote zipo kuna miji kama avic town jaribu kugoogle
ila umbali wa sehemu ni barabara tu, huduma za kijamii zote zipo kuna miji kama avic town jaribu kugoogle
K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 966 Reaction score 540 Jun 21, 2020 #8 Kahtan Ahmed said: kweli kigamboni ni kubwa mana kigamboni imepakana na kisarawe Click to expand... Nadhani ulimaanisha inapakana na Mkuranga na si Kisarawe
Kahtan Ahmed said: kweli kigamboni ni kubwa mana kigamboni imepakana na kisarawe Click to expand... Nadhani ulimaanisha inapakana na Mkuranga na si Kisarawe
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,692 Reaction score 2,312 Jun 21, 2020 #9 Hii nyumba aijaisha inaitaji milioni 14 tu na imejegwa pembeni ya kiwanja ipo kigamboni tuangoma kiwanja 600sqmView attachment 1485483
Hii nyumba aijaisha inaitaji milioni 14 tu na imejegwa pembeni ya kiwanja ipo kigamboni tuangoma kiwanja 600sqmView attachment 1485483