El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
1.2 ndiyo nini?Habari za mchana natafuta kiwanja maeneo ya chanika au viwege.bajet 1.2
Mkuu hapo anatafuta kiwanja Cha laki Moja ama laki mbili.Sijuwi nimemuongezeya bei?1.2 ndiyo nini?
M 1.21.2 ndiyo nini?
M 1.2Mkuu hapo anatafuta kiwanja Cha laki Moja ama laki mbili.Sijuwi nimemuongezeya bei?
Ongeza hela nije nikuuzie chanika milioni 1.5Habari za mchana natafuta kiwanja maeneo ya chanika au viwege.bajet 1.2