Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi wasiwasi wangu ndiyo huo!!Hili sio jaluba la mpunga kiongozi?
Tabora bado hakujaamka kama ilivo mikoa mingine, nyie changamkiani fursa, tena kipo wilayani kabisa sio Tabora mjini.Hili sio jaluba la mpunga kiongozi?
Kuja kwenyu Usoto, Bumbui na Nkoogwe mwaatagha ghali sana mia.Nimefika Nzega mara moja tu. Ila nilipaona ni mahali pazuri sana kuishi, na pia kufanya biashara. Ningekuwa na mkwanja wa uliozubaa, ningekichukua faster hicho kiwanja.
Nawakumbuka sana wale jamaa waendesha baiskeli (ganagana)! Sijui bado wapo!! Wale jamaa hata ukifika kwenye mlima huwa hawataki abiria ushuke! Eti wanahisi kama vile wanakudhulumu nauli yako!!