Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 339
- 1,164
Leta mtu basi tufanye kazi 🤣Ngoja waje waliouza bandari
Leta mtu basi tufanye kazi 🤣
Yes full document zipoIpo HATI ya WIZARANI?
KAZI ni kipimo cha utu
ukipata MDA njoo upaone anytime piga picha za kila .Ipo HATI ya WIZARANI?
KAZI ni kipimo cha utu
anakuuliza ipo hati ya wizarani au ni karatasi tu za serikali za mitaaukipata MDA njoo upaone anytime piga picha za kila .
Nishajibu apo karatasi za mtaa zipo na wizarani zipo yaani Kwa miaka hii bunju kusiwe na hati za wizarani .anakuuliza ipo hati ya wizarani au ni karatasi tu za serikali za mitaa
Anamaanisha ile inayoitwa title deed.Nishajibu apo karatasi za mtaa zipo na wizarani zipo yaani Kwa miaka hii bunju kusiwe na hati za wizarani .
Niko tayari kununua kwa milioni 20 ila nataka nione picha ya hiko kiwanja.Habari .
Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school.
Price - 95m maongezi yapo
-kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor )
Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju
WhatsApp / call 0715160365
M20 Unapata ila kuanzia kinondo kwenda mbele tena 20 Kwa 20 huo ndio ukweliNiko tayari kununua kwa milioni 20 ila nataka nione picha ya hiko kiwanja.