Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Arusha Murriet- maji & umeme vipo

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Arusha Murriet- maji & umeme vipo

partey

Member
Joined
Nov 16, 2020
Posts
50
Reaction score
56
Changamkia hii fursa
kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha.
Huduma za kijamii
.maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika.
Mmiliki amehama kikazi
Mpigie kwa namba hii 0716601783.
Ukubwa sqm. 150
Screenshot_20220329-142044_Photos.jpg
 
SQM 150 maana yake mita 10 kwa 15.Hicho ni kidogo sana mkuu angalau kianze na 350 kuendelea
 
Mimi Nipo Mapambazuko Mwambie anikopeshe nimlipe mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom