Kina nyaraka gani mkuu?Changamkia hii fursa
kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha.
Huduma za kijamii
.maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika.
Mmiliki amehama kikazi
Mpigie kwa namba hii 0716601783.
Ukubwa sqm. 150
View attachment 2168243