Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Babati mjini

Plot281

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
875
Reaction score
454
Kiwanja namba 79 block uu"
Eneo stand mpya maisaka katani.
Ukubwa 40m kwa 30m =1200m squares
Bei=milioni 2 unaweza tanguliza milioni 1 halafu inayobaki tutakubaliana namna ya kulipa.
Ambaye yupo serious nifuate inbox fasta.

 
Ni umbali kutoka stand ya Sasa,Barbara kuu?!?
Sijaelewa swali lako Ila kama ni umbali kutoka stand hadi kwenye hicho kiwanja ni kama mita 700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…