Kiwanja Kiko karibu kabisa na mto RUVU usiokauka maji mwaka mzima,ni kizuri kwa Kilimo cha umwagiliaji Kama Mpunga,matikiti maji,vitunguu na Mazao mengine yote.
Ardhi ni safi sana na waweza kuniPm kwa maelezo zaidi
Bei ni 10M na kina ukubwa wa hekari Tatu(3)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kilometa ngapi kutoka dar na panafikaka kwa urahisi?
Kiwanja Kiko karibu kabisa na mto RUVU usiokauka maji mwaka mzima,ni kizuri kwa Kilimo cha umwagiliaji Kama Mpunga,matikiti maji,vitunguu na Mazao mengine yote.
Ardhi ni safi sana na waweza kuniPm kwa maelezo zaidi
Bei ni 10M na kina ukubwa wa hekari Tatu(3)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna umbali gani kutoka mradi wa irrigation scheme? Au kuna umbali gani kutoka Daraja la pale Mtoni Ruvu hadi kwenye shamba? Barabara ya km 6 ambayo ni rough road haijakamilika kwa lami inaboa sana panachelewesha sana nasikia fedha ya kukamilisha kile kipande ishaliwa sehemu ya kwenda dakika 5 unachukua karibu 30mins.
Umbali kutoka road kwa sasa ni Kama 300m ila barabara itakapo kamilika kwa kiwango cha lami itakuwa less than 50m
Sent from my iPhone using JamiiForums