Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bagamoyo vijijini

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bagamoyo vijijini

Mzee Mambo

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
29
Reaction score
18
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)

Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)

Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA.

Huduma za kijamii zote zinapatikana.
Usafiri ni wa Gari na Reli.
Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu ya Lami.
Bei: 400,000/= (Laki nne)
0672 539 955
 
Dah! Hadi raha. Yaani laki 4 tu unapata kiwanja robo heka! Mambo ya MATIPWILi hayo!!
 
Back
Top Bottom