Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Balili Bunda ukubwa 29 kwa 28, bei 5.5milion

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Balili Bunda ukubwa 29 kwa 28, bei 5.5milion

Papaa pedeshee

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
274
Reaction score
394
Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati.

Kiko karibu na kanisa la lango la uzima pamoja na hospitali ya mkombozi.pia huduma za shule kuanzia chekechea hadi sekondari zinapatikana KWa karibu sana na kiwanja Kiko mita takribani 150 toka Barabara ya Mwanza- Musoma.

Nb: sijabahatika kupiga picha kutokana na kuwa nje ya eneo husika KWa sasa.

KWa mawasiliano zaidi piga namba: 0788579877.
 
Nina 1.5mil mkuu
Bosi huko mbali sana, maana hadi sasa kuna mtu nimemwambia atulie kwanza, ana 3mil hadi hapo nitakapotafakari zaidi.
Nasikitika kuona ardhi ya bunda thamani yake imeshuka sana nikilinganisha na Miaka ya nyuma licha ya changamoto ya kiuchumi KWa sasa Ktk nchi.
Bosi fika angalau 4.5M pengine nitafanya maamuzi sahihi maana ardhi ni mali.
 
Back
Top Bottom