Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
469
Habari

Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19

Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo

Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo

Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi inapanda bei

Mawasiliano yangu ni 0764368588

Unaruhusiwa kuja kupaona ujiridhishe

IMG_20231107_100515_583.jpg
IMG_20231107_102300_203.jpg
 
Kwanini miguu? Miguu ya nani? Miguu iliyobanana au hatua kubwakubwa? Jitahidi tuekee vipimo kwa mita mkuu
 
Miguu 20 kwa 19? Hiki kipimo mbona kipya
Wewe kama mteja kweli unaruhusiwa kukiona na kujiridhisha kama unahitaji mana mimi mwenyewe sio mtaalmu sana wa vipimo ila kiwanja ni kikubwa nyumba inakaa na eneo linabaki.Ningesema 20 kwa 20 halafu ukakuta upande mmoja ni miguu 19 si ungeniona tapeli.
 
E
Miguu akimaanisha hatua za miguu...

Kuna wanaoamini hatua moja ni sawa na mita moja 😇

Bora umueleweshe mana haelewi, na pia anatakiwa ajue kwamba kwenye kuuziana hatupimi kwa miguu bali tunatumia tape measure.
 
Back
Top Bottom