Wewe kama mteja kweli unaruhusiwa kukiona na kujiridhisha kama unahitaji mana mimi mwenyewe sio mtaalmu sana wa vipimo ila kiwanja ni kikubwa nyumba inakaa na eneo linabaki.Ningesema 20 kwa 20 halafu ukakuta upande mmoja ni miguu 19 si ungeniona tapeli.