Kiwanja Kinauzwa Bei Poa!

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Kipo maeneo ya Buyuni kuelekea Chanika. Kina ukubwa wa mita za mraba 670. kimepimwa na kina hati miliki. Maeneo yote yanayozunguka kiwanja yamepimwa na yamepangiliwa vizuri. Bei ya kuuzia 6.5mil. kwa kukiona au maelezo piga simu 0717114409.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…