Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buguruni

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buguruni

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,092
Reaction score
986
Habari za jioni.

Karibuni kununua kiwanja chenye nyumba ndani, kipo fenced.

Eneo ni Buguruni Kisiwani.

Bei ni millioni 70.

Kwa atakayependelea awasiliane kwa namba 0784307401. Huyu ni mmiliki mwenyewe wa kiwanja.

IMG-20210424-WA0007.jpg
 
Tabata kisiwani na Buguruni kisiwani ukitaka kiwanja subiri mvua inyeshe ndio ukakague.
 
Acheni hizo, kama hamna nia ya kununua kwa nini mnakuja na kukashifu. Mnapata faida gani?
 
Nakubali mambo ya Spenko mooooojaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom