Hapo mlangoni kulivyojengewa inaelekea hapo mvua ikinyesha panakua mto msimbazi.
Hapo mlangoni kulivyojengewa inaelekea hapo mvua ikinyesha panakua mto msimbazi.
Na Kigamboni kisiwani pia! Mimaji mitupuTabata kisiwani na Buguruni kisiwani ukitaka kiwanja subiri mvua inyeshe ndio ukakague.