Kiwanja kinauzwa Bujingwa-Block B,Buswelu,Mza

lukatony

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
710
Reaction score
632
Size 15*25,kina mawe tripu kumi na mchanga tripu taut.Hati hakina ila unaweza shughulikia ukaipata maana survey ilishafanywa jiji ila hawajapima eneo husika ispokuwa kama una hela yako unawafuata wanakushughulikia na kukupimia kabisa,bei 5M,mawasiliano 0682078781
 
Punguza haraka,hilo eneo limepimwa lakini halina hati?
 
Square meter 375 kwa 5Ml ? Mimi ninauza 632Sq.MTR kwa 6Ml tu kimepimwa na kina hati kipo hapo hapo Buswelu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…