john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Hati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.Kina hati?
Asante Mkuu. Mimi ningependa chenye hatiHati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.
Kama kimepimwa si kina offer??Hati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.
Hati tutafanikisha kwa pamoja mkuuAsante Mkuu. Mimi ningependa chenye hati
Ni kweli mkuu, ila ndo hivyo maeneo tofauti!Duuu uuuu. 32mil. Si unapata na nyumba kabisa chamanzi.
Offer kivipi!?Kama kimepimwa si kina offer??
Hati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.
O
Offer kivipi!?
Yaani Kimepimwa then hakina hati wala offer,
Katika Uzi ulioni-quote, mi nimezungumzia Hati na Offer,Upimaji wa eneo na utoaji wa hati ni mazoezi mawili tofauti mkuu, kuna maeneo yamepimwa hayana hati kuna maeneo hayajapimwa na yana hati.
Kutoa 32m kwenye kiwanja kisichokua na hati ni wendawazimu kwa usahawa huu wa vyuma..........Hati hakina mkuu, ila tutauziana serikali ya mtaa kwa uthibitisho.
Tena chamanzi hata 24m unapataDuuu uuuu. 32mil. Si unapata na nyumba kabisa chamanzi.
Sawa.Kutoa 32m kwenye kiwanja kisichokua na hati ni wendawazimu kwa usahawa huu wa vyuma..........
Katika Uzi ulioni-quote, mi nimezungumzia Hati na Offer,
Lakini katika jibu lako umezungumzia Hati tu,