Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Jf kubwa sana. Kuna jamaa juzi alitaka kupiga watu gari halafu anafosi V8 aisee alikoenda mi sijuiMilioni 6 kwa bunju A, kuweni makini kuna mtu atalizwa sasa hivi hapa.
Mkuu jifunze protocals za ununuzi wa vitu kama hivi... Hakika hutokaa upigweMilioni 6 kwa bunju A, kuweni makini kuna mtu atalizwa sasa hivi hapa.
πππKwa hiyo nikiwa jirani na Ridhiwani ndio atanisaidia kujenga ama?