kudra hamidu
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 152
- 110
Chalinze, mil 100!! Du, kila la heriKIWANJA kinauzwa kwenje mji mdogo wa chalinze.Kipo pembezoni kabisa na morogoro road.
Ukubwa:robo heka
Bei:100mill
Maelewano yapo
Mawasiliano:0652324449
Madali wastaarabu ruksa
Tena robo hekaChalinze, mil 100!! Du, kila la heri
Mi naishi Chalinze, hiyo bei aliyotaja pengine atawauzia mabosi wa nssf ili nao wale cha juu, ila hiyo bei sio realistic. Mil 10 sawaTena robo heka
Hivi hili bandiko halijakosea njia kweli? siyo kwamba lilitakiwa kuwa kwenye jokes? nauliza tu.KIWANJA kinauzwa kwenje mji mdogo wa chalinze.Kipo pembezoni kabisa na morogoro road.
Ukubwa:robo heka
Bei:100mill
Maelewano yapo
Mawasiliano:0652324449
Madali wastaarabu ruksa