INAUZWA Kiwanja kinauzwa chanika heka 1 na nusu mil.20

Blues1

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
663
Reaction score
1,412
Kiwanja chanika bwaja dakika 5 kutoka barabara kuu.
Ukubwa heka 1 na nusu
Hakina udalali
Bei mil.20 tu.
Kiwanja kipo eneo tambarare na zuri unaweza ukakitumia pia kama shamba.
Piga 0629992942
 
Viroja haviishi dunia hiI 1. Weka picha 2. Punguza bei labda kuanzia 5m Tsh hv
 
Picha ziko wapi? Halafu chanika ndio unauza bei hiyo?
 
Jamani mnatukatisha tamaa ambao hatujajenga, hapa unauza kiwanja 20M halafu kuna uzi unasema miliki nyumba yako kwa 32M tu.

Wauza viwanja tuoneeni imani.
 
Umeambiwa Heka ambayo sawa na mita 70 kwa mita 70 wewe ukitaka nunua mita 20 kwa mita 20
 
Jamani mnatukatisha tamaa ambao hatujajenga, hapa unauza kiwanja 20M halafu kuna uzi unasema miliki nyumba yako kwa 32M tu.

Wauza viwanja tuoneeni imani.
Huyu atakuwa dalali ameongeza zaid ili apate na yeye
 
Viroja haviishi dunia hiI 1. Weka picha 2. Punguza bei labda kuanzia 5m Tsh hv
Hiki sio kiwanja cha miguu 50 kwa 50 type.
Tunaongelea kiwanja cha heka moja na nusu barabarani.
kama unajua vipimo nadhani utakuwa umepata picha
 
CHANIKA ndo ishuuuu kwa 20m labda mtafute Bakhressa afungue depo la Askrimu na Maji-Uhai huko
 
Na ndomana nmetoa tangazo ili wenye pesa walione kama huna tuliza mshono mkuu sio lazima ushare stress zako kwenye post yangu mkuu
 
Kitu kua heka inatosha kua milioni 20?

Kibaha utanunua kwa shilingi ngapi boss?
Kiwanja changu kipo chanika ukitaka vya kibaha watafute madalali wa huko
(tusi kubwa) wewe
 
Jamani mnatukatisha tamaa ambao hatujajenga, hapa unauza kiwanja 20M halafu kuna uzi unasema miliki nyumba yako kwa 32M tu.

Wauza viwanja tuoneeni imani.
kanunue mashamba vijijini hukoooo mambo ya kupimiana 20m x 20m , 12M yashapitwa na wakati . saivi tunanunua mashamba siyo viwanja. 5m unaweza pata hata 10actres. huko ndanindani zeni fanya uwekezaji unaoujua wewe.
 
Usijifanye mjuaji 20M inamaanisha milioni 20
 
Back
Top Bottom