SOLD: Kiwanja kinauzwa (Chanika) kwa malipo ya awamu nne

Status
Not open for further replies.

Login17

Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
83
Reaction score
69
Wakuu ninauza kiwanja changu 66ft kwa 131ft kipo uelekeo wa Chanika (kutokea Pugu) kituo kinaitwa Kwachikila (Karibu na Sheratoni). Ukishuka hapo bodaboda ni elfu 1 hadi 1.5 mpaka unafika kwenye kiwanja.

Nilinunua kiwanja 8m waka 2015 ila kutokana na tatizo lililonipata ninakiuza kwa 5m (Gharama za serikali za mitaa nitalipa mimi) na nahitaji malipo ya awamu nne. Awamu ya kwanza 2.3m, na awamu tatu zinazofata kila mwezi laki 9 kukamilisha balance ya 2.7m. Kiwanja hakina chochote zaidi ya miti ya matunda michache niliyopanda.
 
Weka picha
 
Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
 
Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
Karibu sana mkuu.
 
Bora ukiuze mapema kabla Lukuvi hajakufikia kaka..
 
kuna maji karibu na hiyo site?
 
= 20.12 m * 40 m

804.8 sqm

5000000/804.8

6213tsh/sqm
 
Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
Mkuu dogo hakufika bei, Kaomba ajipange siku mbili tatu. Ila eneo alilipenda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…