Jambazi hatari
Member
- Mar 25, 2017
- 28
- 18
Jambazi hatari badili id yako ili kuaminika katika biashara unayofanyaKiwanja chenye 887square metres kinauzwa. Kiwanja kimepimwa. Ni commercial plot. Kinapatikana Kibaha sehemu za Pangani karibu na ofisi za serikali za mitaa za Pangani ni 0.5km kutoka usawa wa barabara ya mapinga road(Kibaha(Loliondo)-Bagamoyo road.
Bei.
Kinauzwa 3.5million.
Malipo
Unaweza kulipia full au kwa awamu mbili. Kama unahitaji karibu PM.
Huduma za kijamii.
Umeme upo,Maji pia yapo.,Huduma za afya zipo. Nk
Ndiyo. Zipo mkuu. Ni km 10 kutoka Kibaha mjini.Huduma muhimu zipo kweli?