Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dar es alaam - Chanika

mapozzi

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
75
Reaction score
52
Habari za leo wana JF.

Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga.

Ni sehemu iliyozungukwa na makazi ya watu. Kipo karibu na Zahanati ya Zingiziwa. Bei ni milioni nne na laki tatu, mazungumzo yapo kidogo. Kwa mawasiliano nitumie msg pm ili nikupatie namba ya simu.

Karibuni.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…