Kiwanja kinauzwa dar

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,153
Reaction score
809
Mahali: Mwasonga- kigamboni
umiliki: Kina hati ya serikali za mitaa
ukubwa: Nusu heka
bei: Sh m.6 maelewano kidogo yapo.
Umbali kutoka kigamboni: Km 23
umeme: Haujafika
nb
kipo nje ya eneo la mradi wa kigamboni
mazingira na hali ya hewa nzuri
mchanga wa kujengea hapo hapo kwenye uwanja
barabara nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…