choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Kipo maeneo gani hapo Dege??Habarini wadau, kuna eneo ambalo ni zuri kwa makazi maeneo ya dege kigamboni. Ni ukubwa wa mita 25 kwa 25. Bei ni milion tatu. Mwenye uhitaji serious anichek 0764503076. Umeme na maji yapo maeneo hayo. Pia barabara ni ya lami kutokea ferry kigambon. Karibuni sana.
Mita 25 x mita 25 = 625 SqmHabarini wadau, kuna eneo ambalo ni zuri kwa makazi maeneo ya dege kigamboni. Ni ukubwa wa mita 25 kwa 25. Bei ni milion tatu. Mwenye uhitaji serious anichek 0764503076. Umeme na maji yapo maeneo hayo. Pia barabara ni ya lami kutokea ferry kigambon. Karibuni sana.
Mradi upi??Hiyo nadhani Ni sehemu ya mradi. Je Kuna hati?