choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Mkuu ungetoa maelezo ya umbali toka feri hadi Dege ingependeza. Maana si kila mtu afahamu 'jirani na yale magorofa'
Mkuu barabara ipo ya kudumu mpaka kiwanjan hapo? Na je malipo kwa installment vipi?Kiwanja kinauzwa maeneo ya dege kigambon,
chenye ukubwa wa mita 35*35.
Kipo maeneo ya dege kigambon jiran na yale magorofa.
Hakipo mbali na barabara.
Hakijapimwa ila kiko kwenye maeneo ya makaz coz baadhi ya majiran wamepima tayar.
Bei ni milion 6 ila inapungua.
Karibuni serious buyers.
Mawasiliano 0755251314.
Mkuu barabara ipo ya kudumu mpaka kiwanjan hapo? Na je malipo kwa installment vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay thanks mkuuMkuu ukiwa real in need chukua namba yangu hapo.
Hakina mgogoro?