Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dege Kigamboni, eneo lipo jirani na mradi mkubwa wa ujenzi wa Dege Eco Village. Kiwanja kipo eneo zuri na kimezungukwa na miundombinu muhimu yote ikiwemo umeme, barabara na maji.
Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi au biashara, ukubwa wa eneo ni Square metre 1,000. Bei ni milioni 9 kamili. Kwa mteja serious piga simu namba 0625496124, hakuna udalali nipo tayari muda wowote kumpeleka mteja kwenye kiwanja na kumuonesha nyaraka zote za umiliki.