VIWANJA DOM
Member
- May 9, 2018
- 66
- 51
Hapana chief ila ni eneo la makazihati ipo?
Hapana chief ila ni eneo la makazi
Mnunuaji atapewa documents gani?
Mnunuaji atapewa documents gani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]sm 25 kwa sm 25 hata kiatu changu hakienei vipi nyumba itaenea kwel?
sm 25 kwa sm 25 hata kiatu changu hakienei vipi nyumba itaenea kwel?
Hajasema sm 25 x sm 25,sm 25 kwa sm 25 hata kiatu changu hakienei vipi nyumba itaenea kwel?
Imenibidi nicheke maana hesabu ni jangasm 25 kwa sm 25 hata kiatu changu hakienei vipi nyumba itaenea kwel?
Kiko wapi? Taja eneoKiwanja chenye ukubwa wa 25 *25 sm kinauzwa eneo la michese Iringa road jijini Dodoma.
bei ni 1.7 milioni na inaweza lipwa kwa awamu.
Eneo lipo km 8 toka city centre na lina huduma zote kama maji,umeme na barabara.
mawasiliano ni 0763906676.
kwa mahitaji mengine ya viwanja Dodoma tuwasilaiane
michese iringa roadKiko wapi? Taja eneo
kipo eneo salama kwa ujenzi,karibu kwa uhakiki zaidi mkuuHakipo eneo hatarishi ??
Bado kipo?
Bado kipo?
Mmh kufuru hizo boss kama hakikufai usimvunje moyo muuzajism 25 kwa sm 25 hata kiatu changu hakienei vipi nyumba itaenea kwel?
Kipo wapi na kipo karibu na huduma zipi?Kimeuzwa mkuu, Kuna kingine 60*40 sqm price ni 3,000,000 TSH.
sasa ukisha uza nenda kwenye post yako tafuta report waandikie kuwa kiwanja kisha uzwa wata andika sold sasa wewe una andika kwenye comment unazenguaSold,Sold,Sold