Bei mkuu!Nauza kiwanja Dodoma mjini maeneo ya Chidachi mlimani jirani na St. Mary's. Kina ukubwa wa sqm 600. Kina nyumba ambayo haijamaliziwa, ina vyumba vinne, viwili vikiwa master, sebule, dining, jiko, stoo na choo na bafu ya public. Bei ml 34.
Mawasiliano 0766255566View attachment 2630601View attachment 2630599
View attachment 2630602View attachment 2630600
View attachment 2630610
Eneo zuri sana, kwenye kona, kuna barabara mbele ya nyumba na barabara ubavuni mwa nyumbaNauza kiwanja Dodoma mjini maeneo ya Chidachi mlimani jirani na St. Mary's. Kina ukubwa wa sqm 600. Kina nyumba ambayo haijamaliziwa, ina vyumba vinne, viwili vikiwa master, sebule, dining, jiko, stoo na choo na bafu ya public. Bei ml 34.
Mawasiliano 0766255566View attachment 2630601View attachment 2630599
View attachment 2630602View attachment 2630600
View attachment 2630610
Aisee! Nina Sqm 900 ...Iringa Road .Miganga ,nikiuze bei Gai😊Chidachi mkuu. Nyuma ya St.Mary's. Nilipata mteja kwa m30
itapendeza.Aisee! Nina Sqm 900 ...Iringa Road .Miganga ,nikiuze bei Gai😊