wakukae
Senior Member
- Aug 30, 2012
- 113
- 58
kiwanja kinauzwa. kipo maeneo ya chidachi, Dodoma mjini. kina ukubwa wa mita 75 kwa 45. kimepimwa na kugaiwa na mamlaka ya ardhi ya mjini Dodoma (CDA). kina hati. kipo kwenye kona. kina ramani iliyopitishwa na (CDA). Na kimeshajengwa msingi wa mawe.. Bei ni sh. Mil 7. kwa mawasiliano zaidi piga namba 0766255566