Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo Dodoma eneo la Mlimwa “c” wengine wanapenda kupaita kwa Waziri mkuu

Kimejengewa kabisa na msingi.

Bei ni nafuu sana.

Kama utakuwa interested wasiliana nasi kupitia 0789 805 698


Au kama upo Dodoma Fika katika ofisi zetu zilizopo mji mpya Dodoma
 
Kuweka Tangazo bila bei ni Dalili mbaya sana kwa mnunuajii!
 


Siihitaji, ukitaka nikutafute weka picha ya wagogo hapo wakiwa wanaomba na kunya hadharani ndiyo nitajuwa ni Dodoma, hivi hivi sitaki na sikuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…