Gody JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 1,251 Reaction score 418 May 28, 2012 #1 Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!! Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli Kimepimwa doc zake zipo. Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia! Bei maelewano!
Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!! Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli Kimepimwa doc zake zipo. Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia! Bei maelewano!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,988 Reaction score 30,183 Jun 6, 2012 #3 Ukubwa??
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 138 Jun 8, 2012 #4 kakimbia
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,320 Reaction score 16,768 Jun 8, 2012 #5 weka bei ya kuanzia kabla ya kuelewana!