Mkungo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 222
- 134
Ninauza kiwanja Goba Mtaa wa Matosa (Tegeta A) kimepimwa kiko kwenye Plot 55 kina ukubwa wa mita za eneo 2,476 (yaani 2,476 Sq M). Umeme upo karibu tu na nguzo moja tu.
Umbali kutoka Tangi Mbovu ni 11km na 6km kutoka Mbezi Luisi. Kwenye junction ya Wazo/Goba na Tangi mbovu/Wazo ni 2km.
Barabara ya Wazo hadi Mbezi Luisi ikijumuisha na kupitia Goba hadi Tangi mbovu ziko kwenye bajeti ya serikali ya mwaka huu kujengwa kwa kiwango cha lami.
Anayependa maana yake sikukuu ya mwaka mpya ipo mlangoni anipige namba +255 753 521 331 na +255 658 687 720 bei ni chee wahi. Nisingependa Dalali
Asanteni

![20131230_140440[1].jpg 20131230_140440[1].jpg](https://xf23.jamii.app/data/attachments/3191/3191117-486e6817b7cfc200820334abba2294d3.jpg?hash=SG5oF7fPwg)