Plot4Sale Kiwanja kinauzwa/Exchange

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa/Exchange

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Kange Tanga
Urefu 27m
Upana 22m
Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum. Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanha ili viwanja vipimwe na kupewa hati,fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/=
Bei ya kiwanja ni Tzsh 3,700,000/ =
Mawasiliano 0765062114
Whatsap 0759399805View attachment 1489998
248.jpg
View attachment 1490000
239.jpg
 
Back
Top Bottom