B baraka wanna Member Joined Sep 8, 2014 Posts 25 Reaction score 1 Sep 9, 2014 #1 nauzakiwanja kipo vikindu- mkuranga,kipo umbali wa robo km1 kutoka Barabara kuu. eneolinafaa kwa makazi au fremu za biashara. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167.
nauzakiwanja kipo vikindu- mkuranga,kipo umbali wa robo km1 kutoka Barabara kuu. eneolinafaa kwa makazi au fremu za biashara. anaehitaji wahimapema nitafute maongezi yapo 0713377167.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Sep 9, 2014 #2 hicho ni kiwanja cha 20 meters kwa 20 meters mkuu... bei kubwa sana kwa mkuranga
B baraka wanna Member Joined Sep 8, 2014 Posts 25 Reaction score 1 Sep 9, 2014 Thread starter #3 kama ni mnunuzi wa ardhi kwa hiliutaelewa, Kiwanja kipo Mjini kabisa miaka inapozidi dhamani ya ardhi inapanda.
kama ni mnunuzi wa ardhi kwa hiliutaelewa, Kiwanja kipo Mjini kabisa miaka inapozidi dhamani ya ardhi inapanda.
K Kipre cheche Member Joined Aug 26, 2014 Posts 27 Reaction score 1 Sep 15, 2014 #4 dhamani ya kiwanja inapanda kidogo sana, pesa ya kibongo ndo inayoshuka dhamani.