maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,454
hapana mkuu,niko kwenye mchakato ila lina uthibitisho serikali ya mtaa,na pia beacons...na kuna majirani kila upande
Premium area > prime area 🙄,hilo eneo ni premium area
kama unapokea 20m cash nicheki faster mkuuhabari wakuu,nauza eneo langu hapo Goba Kinzudi magorofani lenye size hapo juu,limepimwa na lina mawe( Beacons) ni accesible na mwendo wa 2-3 min had njia kuu ya goba, pia ni 5-6 min kwa gari hadi masana hospital bei ni 35 m na maongezi yapo,hilo eneo ni premium area na hakuna nyumba ya kiswahili....kwa watu wa Goba wanaelewa.
kwa contact zaidi tuwasiliane PM
ni nyingi mkuu...sema haijafika thamani halisi...panda panda...kama unapokea 20m cash nicheki faster mkuu
nitakushtua kama ikifika huko bossIkifika 22 utanishtua